EasyManua.ls Logo

Murray MP450D20 - Page 76

Murray MP450D20
128 pages
Print Icon
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Loading...
Not for
Reproduction
4 www.murray.com
ONYO: Kifaa cha kutoa uchafu na kubadilisha
mwelekeo LAZIMA kiwekwe kwa mikono kabla kuwasha na
kuitumia mashine hii ya kukata nyasi.
!
3. Vipengele na Vidhibiti
1. Mpini wa Juu 2. Wenzo ya Kudhibiti Injini
3. Mpini wa Chini 4. Kirungu cha Mpini
5. Mwongoza wa Kamba 6. Gurudumu
7. Wengo ya Kupimia Urefu wa Kukata
8. Deki 9. Kifaa cha kutoa uchafu na kubadilisha mwelekeo
10. Injini 11. Buti ya Spaki Plagi 12. Kifuniko ya Mafuta
13. Kifuniko ya Mafuta 14. Mpini wa Kamba ya Kuwasha
Jina ya Modeli MP450D20 MP625MD21H MP550RM21 MP675RM21H MP550RMD21
MP675RMD21H
MX675RMD22H
Nambari ya Modeli 866079 866081 866083 866084 866085 866086 866087
Aina ya Injini B&S 450E B&S 625EX B&S 550EX B&S 675EXI B&S 550EX B&S 675EXI B&S 675EXI
Inajiendesha Hapana Hapana Hapana Hapana Hapana Hapana Ndio
Ukubwa wa Injini 125cc 150cc 140cc 163cc 140cc 163cc 163cc
Nguvu ya Upeo (KiloWati)
1.66 2.31 2.04 2.49 2.04 2.49 2.49
Upana wa Deki 510 mm 530 mm 530 mm 530 mm 530 mm 530 mm 560 mm
Upana wa Ubapa 500 mm 510 mm 510 mm 510 mm 510 mm 510 mm 530 mm
Kasi Iliyopimwa 3100rpm 3100rpm 3100rpm 3100rpm 3100rpm 3100rpm 3100rpm
Ukubwa wa Tenki ya
Mafuta (Lita)
0.76 0.76 0.76 1.03 0.76 1.03 1.03
Ukubwa wa Chomba
Kinachoshikilia Nyasi
(Lita)
HAITUMIKI HAITUMIKI 60 60 60 60 60
Uzito(Kilogramu) 19 29 27 31 28 32 35
Kiwango ya Urefu (sen-
timita)
25-66 25-76 25-76 25-76 25-76 25-76 30-85
Kukusanya Nyasi Nyuma
ya Mashine
Hapana Hapana Ndio Ndio Ndio Ndio Ndio
Kuchaji kutoka Kando Hapana Hapana Ndio Ndio Ndio Ndio Ndio
Kufunika ardhi na Nyasi Hapana Ndio Ndio Ndio Ndio Ndio Ndio
Kiwango cha Oili(mililita) 473 473 473 473 473 473 473
Kutetemeka katika Mpini
wa Juu(m/s2)
4.83 2.47 3.89 3.26 3.16 5.3 3.26
2. Vipengele Maalum
Kielelezo 1. Modeli: MP450D20
1
2
3
5
4
6
7
12
10
8
9
11
13
14

Related product manuals