EasyManua.ls Logo

Murray MP450D20 - Page 78

Murray MP450D20
128 pages
Print Icon
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Loading...
Not for
Reproduction
6 www.murray.com
1
2
3
5
4
6
9
14
13
12
17
16
15
8
7
11
10
1. Mpini wa Juu 2. Wenzo ya Kudhibiti Injini
3. Mpini wa Chini 4. Kirungu cha Mpini
5. Mwongoza wa Kamba 6. Mfuko wa nyasi
7. Mlango wa nyuma
8. Wengo ya Kupimia Urefu wa Kukata 9. Gurudumu
10. Deki 11. Kifuniko ya kifaa kinachochaji kutoka kando
12. Kifaa cha kutoa uchafu na kubadilisha mwelekeo
13. Buti ya Spaki Plagi 14. Injini
15. Kifuniko ya Mafuta 16. Kifuniko ya Mafuta
17. Mpini wa kamba ya kuwasha injini
Pamoja na A: Plagi ya Matandazo
Kielelezo 6. Modeli: MP675RMD21H
A
1
2
4
6
5
7
9
15
14
11
18
17
1. Mpini wa Juu 2. Wengo wa Kujiendesha
3. Wenzo ya Kudhibiti Injini 4. Mpini wa chini
5. Kirungu cha Mpini 6. Mfuko wa nyasi
7. Mwongoza wa Kamba 8. Mlango wa nyuma
9. Gurudumu 10. Wengo ya Kupimia Urefu wa Kukata
11. Deki 12. Kifuniko ya kifaa kinachochaji kutoka kando
13. Kifaa cha kutoa uchafu na kubadilisha mwelekeo
14. Buti ya Spaki Plagi 15. Injini 16. Kifuniko ya Mafuta
17. Mpini wa Kamba ya kuwasha injini 18. Kifuniko ya Mafuta
Pamoja na A: Plagi ya Matandazo
Kielelezo 7. Modeli: MX675RMD22H
8
12
13
16
3
10
A
4. Usalama na Ishara za Kuelekeza
Alama zinatumika katika mwongozo huu kuvutia mawazo
yako kwa hatari zinazowezekana. Alama za usalama na
maelezo yake ni lazima yaeleweka kikamilifu. Maonyo
yenyewe hayawezi kuepuka hatari na hayawezi kuchukua
nafasi ya njia sahihi za kuepuka ajali.
Alama hii ya tahadhari ya usalama hutumika kubainisha
maelezo ya usalama kuhusu hatari ambazo zinaweza
kusababisha mtu kujijeruhi mwenyewe.
A1 Soma mwongozo wa opereta kabla ujaribu
kutumia mashine ya kukata nyasi.
A2 Kwa ajili ya kuepuka majeraha au kifo, weka mikono na
miguu mbali na deki ya mashine ya kukata nyasi kwa wakati
wote unaitumia.
A3 Kwa ajili ya kuepuka kuumia kwa wengine, usikate nyasi
wakati Wengine, hasa watoto, wako karibu.
A4
Tenganisha Buti ya Spaki Plagi kabla ufanye marekebisho.
B1 Ili kuepuka majeraha kutoka vitu vinavyotupwa, usiitumie
mashine ya kukata nyasi hadi boji, uchafu unaotolewa, au
vipengele vya mifuko viko katika nafasi zao sahihi.
C1 Wachilia wengo ili uzime injini.
C2 Shikilia wengo ili ijiendeshe.
D1 Wachilia wengo ili uzime injini.
!
A1 A2 A3 A4
B1
C1 C2
D1

Related product manuals