EasyManua.ls Logo

Murray MP450D20 - Page 81

Murray MP450D20
128 pages
Print Icon
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Loading...
Not for
Reproduction
9
Kielelezo. 8 Kielelezo. 9
Kielelezo 10.
6.1.2 Jinsi ya Kuunganisha Mpini wa Juu.
Kuunganisha mpini wa juu na mpini wa chini umeelezwa
katika jedwali lifuatalo na modeli maalum:
!
KUMBUKA! Hakikisha kamba ya kuwasha iko katika
mpini unaofaa, wakati unasimama nyuma ya mashine
ya kukata nyasi.
Modeli
Kumbukumbu
ya Picha
Jinsi ya Kuunganisha
mpini wa chini
MP450D20 Kielelezo 11.
Weka mpini wa juu na
uishikanishe kwa mpini
wa chini kwa kutumia vita
-
sa vya nyota na komeo za
mraba kwa kila upande.
MP625MD21H Kielelezo 12.
MP550RM21/
MP675RM21H /
MP550RMD21/
MP675RMD21H/
MX675RMD22H
Kielelezo 13.
Kielelezo.11 Kielelezo.12 Kielelezo.13
6.1.3 Jinsi ya kufunga kebo kwa mpini
Rekebisha nyaya kwa mipini na sehemu za kebo ulizopewa
(tazama Kielelezo.14):
• Modeli za kusukuma: Kebo moja pekee;
• Modeli za kusukuma: Kebo mbili.
6.2 Kushikanisha Mfuko wa Nyasi
• Inatumika kwa modeli zilizo na Mfuko Wa Nyasi pekee
(ona Sehemu ya pili. Vipengele Maalum)
1. Inua mlango wa nyuma kwa mkono mmoja na uweke
ndoano za mfuko wa nyasi kwenye plastiki mbili ambazo
zimewekwa kwenye mlango wa nyuma (ona Kielelezo 15 na
Kielelezo 16).
2. Wachilia mlango wa nyuma ili uweke mfuko wa nyasi kwa
nafasi yake (ona Kielelezo 17).
6.3 Kuweka Plagi ya Matandazo
• Inatumika kwa modeli zilizo na uwezo wa kukusanya
kutoka nyuma na pia kutandaza (rejea Sehemu ya 2.
Vipengele Maalum).
1. Inua mlango wa nyuma na uondoe mfuko wa nyasi, kama iko.
2. Sukuma plagi ya plastiki ya kutandaza katika njia ya
kuteremshia uchafu mpaka ifungike (angalia Kielelezo.18 na
Kielelezo.19).
3. Wachilia mlango wa nyuma ifunge plagi ya matandazo (ona
Kielelezo.20).
Kielelezo 14.
Kielelezo. 15 Kielelezo.16
Kielelezo 17.

Related product manuals