17
TATIZO SABABU YA KUAMINIKA HATUA YA UTATUZI
Injini haiwaki.
Wengo wa kifaa cha kudhibiti mtiririko wa
mafuta au nguvu ya injini haiko katika nafasi
sahihi kwa hali iliyopo.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
asongeza wenzo wa kifaa cha kudhibiti mtiririko wa ma-
futa au nguvu ya injini hadi kwa nafasi sahihi.
Wenzo ya kudhibiti injini haijawashwa Vuta wenzo ya kudhibiti injini dhidi ya mpini wa juu.
Tangi la mafuta ni tupu.
Jaza tangi na mafuta-Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Kichujio hewa kiko kichafu.
hewa- Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Spaki Plagi haijashika vizuri. Kaza spaki plagi-Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Buti ya spaki plagi haijashika vizuri au imeten-
ganishwa kutoka kwa spaki plagi.
Buti ya Spaki Plagi
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi haiko
sawa.
Rejea mwongozo wa operator wa injini ili uweke pengo
sahihi
Spaki Plagi iko na shida
Weka spaki plagi mpya na ya kihalisi ya Briggs&Stratton
--Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Injini imejazwa na mafuta
Toa buti ya spaki plagi kutoka kwa spaki plagi, toa spaki
kuwasha mara tano ili ufanye mafuta katika chumba cha
kuchoma ndani ya injini yaishe, kisha uweke spaki plagi
na buti ya spaki plagi.
Kabureta imejazwa
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
mpya na halisi
Mfumo wa kuwasha unashindwa kutoa umeme Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Injini iko na shida
kuwaka au inapo-
teza moto.
Uchafu, maji, au tanki ya mafuta iliyooza.
na mbichi
Shimo katika kifuniko ya tenki ya mafuta
imezibwa.
Kichujio cha kuchuja hewa kiko kichafu.
Injini haitabiriki.
Spaki Plagi iko na shida
Weka spaki plagi mpya na ya kihalisi ya Briggs&Stratton
--Rejea mwongozo wa opereta wa injini
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi haiko
sawa.
Rejea mwongozo wa operator wa injini ili uweke pengo
sahihi
Kipengele cha kichujio hewa ni kichafu.
-
engele cha kichujio hewa- Rejea mwongozo wa operator
wa injini
Injini inanguruma
Kipengele cha kichujio hewa ni kichafu.
-
engele cha kichujio hewa- Rejea mwongozo wa operator
wa injini
Nafasi za hewa katika kifuniko ya injini zimezi-
bwa.
Toa uchafu kutoka kwa nafasi za hewa katika kifuniko ya
injini.
Mapezi ya kupoesha na vifungu vya hewa chini
ya makazi ya kipulizo ya injini yamezibwa.
Toa uchafu kutoka kwa mapezi ya kupoesha na vifungu
vya hewa.
Injini inaruka ka-
tika kasi iliyo juu.
Pengo kati ya elektrodi za spaki plagi iko
ndogo sana.
Weka pengo kati ya elektrodi- Rejea mwongozo wa op-
erator wa injini ili uweke pengo sahihi
Injini inachemka
Hewa ya kupoza ina vikwazo.
Toa uchafu wote kutoka nafasi za sanda, makazi ya kipu-
lizo, vifungu vya hewa.
Spaki Plagi isiyo sahihi.
Pata marekebisho sahihi ya spaki plagi halisi kutoka kwa
ajenti aliyethibitishwa wa Briggs & Stratton.
Mahine ina-
tetemeka kwa hali
isiyo ya kawaida
Muunganisho wa kukata haujashika vizuri.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
ashikanishe ubapa na nguvu kati ya 45N.m-55N.m.
Muunganisho wa kukata hauna uwiano.
Enda kwa muuzaji aliyethibitishwa na Briggs&Stratton
abadilishe na ubapa mpya.