4 BRIGGSandSTRATTON.COM
Usalama na Alama za kuelekeza ............... 3
Maelezo ya Vifaa ............................ 3
Vipengele na Vielekezi........................ 3
Operesheni ................................. 4
Udumishaji.................................. 6
Kuhifadhi ................................... 7
Utatuaji wa Matatizo .......................... 8
Maelezo ya Kina ............................. 8
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara hii ya usalama inaonyesha uwezo wa kuumia
kibinafsi. Ishara ya usalama inaweza kutumika
kuwakilisha aina ya hatari. inaonyesha athari
ambayo isipoepukwa, kusababisha kifo au
majeraha makubwa. TAHADHARI inaonyesha athari
ambayo isipoepukwa, kusababisha majeraha
madogo au ya wastani. ILANI huashiria maelezo
yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini hayahusiani na hatari.
Soma mwongozo huu kwa makini ili uwe
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya
uga wa kizingia, wa mkondo geu na mkondo nyofu
za umeme wa kuwasha taa mwafaka, kuendesha
vyombo, ala na mageuzo ya umeme. Uga wa kizingia
unaendeshwa kwa takriban mizunguko 4,350 kwa dakika
)
imezimwa) na mashine ya silinda moja.
Mashine haifai kutumiwa na watu (pamoja na watoto)
walio na ulemavu wa kimwili, hisia au akili, au ujuzi.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa
katika mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata
hivyo, tunadhibiti haki ya kubadilisha, kughairisha , ama
kuboresha jenereta na hati hii wakati wowote bila ilani.
Ilani Kama una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na mhudumu aliyeidhinishwa.
Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na za umeme na vipuri
vilizoidhinishwa vya Briggs & Stratton PEKEE.
Mfumo Ardhi
vya ubao wa jenereta kwa nyaya za ardhi kwa vizalishi
vya mkondo geu (AC). Waya baki ya jenereta inapepea,
ikimaanisha kwamba mtatio wa rota ya mkondo geu
(AC) umetengwa na kitango ardhi cha plagi ya mkondo
geu Vifaa vya umeme, kama vile Kileta Salama, RCD,
vinavyohitaji baki la ardhi huenda visifanye kazi vyema
katika jenereta hii.
Kunaweza kuwa na kanuni, taratibu za mitaa, ama sheria
zinazohusu matumizi yaliyokusudiwa kwa jenereta hii.
Tafadhali pata ushauri wa fundi umeme aliyehitimu,
mkaguzi wa umeme, au wakala wa mji aliye na mamlaka.
ujenzi au kwingineko kunakoshabihiana.
1
A Kifuniko cha Mafuta K Lebo ya kutambulisha
B Wenzo wa Kinyonga
Pumzi
L Kipenyo cha 12 Volti
Mkondo Nyofu (DC)
C Swichi ya QPT M Kipenyo cha USB
D Kifuniko cha Ukarabati
cha Kando
N Kipenyo cha
Operesheni
Sambamba
E Mpini Nywea P Statstation™
F
Kikata Mkondo cha DC
R Kiunganishi Ardhi
G Swichi ya Mtambo S Kitulizo cha Kishika
Cheche
H
Kipenyo cha Schuko
cha 230 Volt AC, 16
Amp
T Kifuniko cha Ukarabati
J Mpini Chemba
Moto
Mlipuko
Mvuke wa
Sumu
Sehemu
Moto
Mshtuko wa
Stima
Ishara ya
Usalama
Mwongozo wa
Maelekezo
Kiwango cha
Mafuta
Kamsa ya
Kaboni
Monoksidi
Kikata Mkondo
Washa
Waya wa Ardhi
Baki la
Kuelea
Zima
Petroli
Udhibiti wa
Injini
!
Usiwashe
Injini
Kinyonga
Pumzi
Washa
Utoshaji
Utoshaji
Mafuta
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani