7
Umeme Mchoro
1
Tumia nyaya-enezi za ubora wa juu kuambatana na IEC
245-4 na vitoleo vya volti 230 vya mkondo geuzi (AC)
vya jenereta pekee. Kagua nyaya-enezi kabla ya kila
tumizi. Hakikisha nyaya-enezi zote zina vipimo mwafaka
na hazijadhurika. Unapotumia nyaya-enezi chni ya 40° C,
jumla ya urefu wa nyaya kwa sehemu ya msalaba ya 1.5
mm² isizidi m 50 ama kwa sehemu ya msalaba ya 2.5
mm² isizidi m 80.
O
Nyaya-enezi zilizopitisha kiasi cha vitumizi
zaweza kupata joto kubwa, kupinda, na kuchomeka
zikisababisha kifo ama majeraha makubwa.
• Vifaa vya umeme mkiwemo nyaya na plagi unganishi
hazitakiwi kuwa na kasoro.
Tumia plagi kuendesha Volti 230 AC, awamu moja, 50
Hz ya vitumizi vya umeme. Plagi zimekingikwa kutokana
na matumizi ya kupita kiasi na mfumo wa kinga wa ndani.
Nguvu za volti za jenereta zaweza
kusababisha mshtuko wa umeme au kuchoma
ama kusababisha kifo au majeraha makubwa.
• Tumia kikata umeme (RCD) katika sehemu iliyo na
unyevu ama uwezekano wa kusambazika umeme,
kama jukwaa za vyuma ama katika kazi za vyuma.
• Usiguse nyaya zilizo uchi ama plagi.
• Usitumie jenereta na nyaya za umeme zilizoharibika,
kuzeeka, zilizo uchi ama kuharibika.
• Usitumie jenereta katika mvua ama hali ya unyevu.
• Usitumie jenereta kama umesimama kwa maji, ukiwa
miguu mitupu, ama miguu na mikono ikiwa na maji.
• Usiwakubalie watu wasiohitimu ama watoto ktumia
ama kutengeneza jenereta.
• Weka watoto kwa umbali salama kutoka kwa jenereta.
Kipenyo cha USB kinakuruhusu kuchaji chombo
chochote kinachotumia USB ukitumia waya ya kuchaji ya
USB (haijajumuishwa na kifaa).
ILANI Kwa kuchaji kifaa cha ITE (Information Technology
Equipment) pekee.
Plagi hii inakuwezesha kuchaji kifaa cha gari cha volti
12 ama betri ya matumizi ya kuhifadhi ambapo waya ya
kuchaji betri imejumuishwa.
Kikata mkondo cha mkondo nyofu (DC) (F) kinalinda
plagi hii kutokana na matumizi zaidi. Kikata mkondo
kinapozima, subiri dakika tano kabla ya kubofya kitufe ili
kuregesha.
Ulinzi wa vifaa vya umeme unategemea vikata mkondo
vinavyoafikiana na jenereta. Badilisha kikata mkondo na
kile kilichoafikiana kwa nguvu na utenda kazi na kile cha
kwanza.
ILANI Unapotumia chaji ya mkondo na kipenyo cha USB,
swichi ya QPT iwe OFF (0) imezimwa.
kutumiwa sambamba na mtambo-sambamba wa Briggs
& Stratton (kifaa cha hiari) kwa utoaji umeme wa jumla
ya hadi wati 4,800 (kW4.8).
ILANI
mtambo-sambamba usizidi 4,800 wati (kW 4.8).
Zatiti karatasi ya maelekezo ya mtambo-sambamba
kwa maelekezo ya kina juu ya usimikaji na matumizi ya
jenereta zilizounganishwa.
1. Zima na kutoa plagi za vitumizi vyote kutoka kwa
ubao wa plagi wa jenereta. Usizime mtambo kama
plagi za vifaa vitumizi havijazimwa wala kung'olewa.
2. Acha mtambo uwake bila vitumizi kwa dakika moja
ili kuimarisha hali ya joto ndani ya injini na jenereta.
3. Bofya swichi ya mtambo katika hali ya OFF (0) kuzima.
7
Paneli dhibiti ina kiashirio cha LCD kilichojengewa ndani
(A) ili kufuatilia hulka zifuatazo:
• Kumbusho la Ukarabati (Ukarabati wa Mtambo)
Kiashiria Uzito hupima uenezaji umeme kwa wati (uzito
wa jenereta) wa plagi zote na kuonyesha asilimia ya
jumla ya uzito wa jenereta.
Kiashirio cha LCD hurekodi jumla ya masaa jenereta
ilipofanya kazi (hadi 999.9).
Onyesho la LCD lina kumbusho la kukujuza wakati wa
kubadilisha chujio la hewa, oili na kiziba cheche (spark
plug). Onyesho la LCD itaangaza kwa asilimia ya uzito
na kwa kiashirio cha saa kila baada ya masaa 50 kwa
vipindi tofauti vya ukarabati. Tazama
kwa vipindi tofauti ukarabati.
Kubofya kitufe cha “View” (B) kutageuza baina ya
angazo la asilimia ya uzito na angazo la kiashirio cha
saa. Baada ya ukarabati kukamilika, bofya na kushikilia
kitufe cha "View" kwa angalau sekunde 3 ili kusimamisha
kiashirio kuangaza na kurudi katika hali yake ya kawaida.
Taa ya kiashiria ya kijani ya LED (C) huwaka wakati
jenereta infanya kazi sawasawa. Huashiria kwamba
jenereta inazalisha umeme na kupokeza plagi.
Taa nyekundu ya kiashirio cha uzito cha LED (D) huwaka
na kukata umeme kwa plagi kama unazidisha uzito. Taa ya
kiashirio cha kuzalisha ya kijani pia itazima. Sharti uzime
na kuchomoa plagi za vitumizi vyote vya umeme, kubofya
kitufe cha “Reset” (E) halafu uchomeke plagi za umeme
moja kwa moja ili kuendeleza hali ya kawaida ya kazi.
Kiashirio cha Oili Kidogo
Mfumo wa Kiashirio cha Oili Kidogo umeundwa ili kuzuia
uharibifu wa mtambo unaosababishwa na kiwango cha chini
cha oili katika injini. Iwapo kiwango cha oili kimepungua zaidi
ya kipimo kilichowekwa, taa ya Kiashirio cha Oili Kidogo ya
manjano (F) inawaka na kitufe cha kiwango cha oili kitazima
mtambo. Iwapo mtambo utazima ama taa ya njano ya
Kiashirio cha Oili Kidogo iwake unapovuta mpini-nywea,
angalia kiwango cha oili katika injini.