EasyManuals Logo

Briggs & Stratton P3000 Manual

Briggs & Stratton P3000
228 pages
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Page #211 background imageLoading...
Page #211 background image
Not for
Reproduction
11

UDHAMINI PUNGUFU
Briggs & Stratton inakubali, katika kipindi cha udhamini ulioelezwa hapa, itakarabati au badilisha, bila ya malipo, sehemu yoyote ilio na shida katika vifaa au
operesheni au zote. Bei ya kusafirisha bidhaa zilizotumwa ili zikarabatiwe au zibadilishwe kwa mujibu wa udhamini huu ni lazima mwenyewe agharamie. Udhamini
huu una madhubuti na iko halali kwa muda na masharti yaliyosemwa hapo chini. Kwa ajili ya huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyeidhinishwa katika ramani yetu
iliyo BRIGGSandSTRATTON.COM Mnunuzi lazima awasiliane na muuzaji aliyethibitishwa, na kisha ampe muuzaji bidhaa kwa ajili ya ukaguzi na upimaji.
 lengo fulani, zina upungufu wa muda
uliosemwa hapo chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa na sheria. 
kiasi zinaruhusiwa na sheria. Baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu upungufu unaoamua udhamini ulioashiriwa unakuwa halali kwa muda gani, na baadhi ya
majimbo au nchi haziruhusu ukwepaji au uzuiaji wa uharibifu ulioletwa na shughuli au matokeo ya matumizi, kwa hivyo uzuiaji na ukwepaji unaweza kuwa hauko halali
kwako. Udhamini huu unakupa haki maalum za kisheria na unaweza pia kuwa na haki nyingine ambayo inatofautiana kutoka jimbo moja hadi nyingine au nchi moja
hadi nyingine.**
KIPINDI CHA UDHAMINI
Baada ya miezi 12, udhamini unashughulikia sehemu za vipuri pekee.
** Katika Australia - Bidhaa zetu zinakuja na dhamana ambayo haiwezi kulengwa katika Sheria ya Watumizi wa Australia. Una haki ya kubadilishiwa au kurudishiwa
pesa kwa uharibifu mkubwa na fidia kwa hasara au uharibifu wowote mwingine. Una haki pia ya kutengenezewa au kubadilishiwa kama bidhaa haziko na ubora
unaokubalika na uharibifu hauleti hasara kubwa. Kwa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyethibitishwa na aliyekaribu na wewe katika ramani yetu kwa tovuti ya
BRIGGSandSTRATTON.COM, au piga simu 1300 274 447, au kwa barua pepe au barua kwa salesenquiries@briggsandstratton.com.au, Briggs & Stratton Australia Pty
Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi cha udhamini huanza tarehe ya ununuzi ya duka la kwanza au biashara la kwanza. "Matumizi ya kibinafsi" inamaanisha matumizi ya nyumbani na mnunuzi wa
rejareja. "Matumizi ya kibiashara" inamaanisha matumizi mengine yote, pamoja na matumizi ya kibiashara, ya kuzalisha mapato au kwa madhumunia ya kukodisha.
Wakati bidhaa imetumika kibiashara, itachukuliwa kama bidhaa ya kibiashara ya bidhaa kwa ajili ya udhamini huu.
Weka risiti ya kuonyesha ulinunua. Kama huna ushahidi wa tarehe ulionunua bidhaa wakati utahitaji kutumia udhamini, tarehe bidhaa ilitengenezwa itatumika kuamua
kipindi cha udhamini. Usajili wa bidhaa hauitajiki katika kupokea huduma ya udhamini kwenye bidhaa za Briggs & Stratton.
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Huduma ya Udhamini inapatikana tu kwa wauzaji waliothibitishwa wa Briggs & Stratton. Marekebisho ya udhamini hufanywa mara kwa mara, lakini wakati mwingine
maombi ya huduma ya udhamini yanaweza kuwa si sahihi. Udhamini huu unashughulikia kasoro tu katika vifaa au kazi. Haishugulikii uharibifu unaosababishwa na
matumizi au dhuluma, ukarabati au urekebishaji usiofaa, uchakavu wa kawaida, au mafuta yaliyooza au hayajidhibitishwa.
- Matumizi sahihi ya bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa fundi. Kutumia bidhaa kwa njia isiyoelezwa katika Mwongozo wa
Fundi au kutumia bidhaa baada ya kuharibika hautatumika kwa udhamini huu. Udhamini pia hautatolewa kama nambari ya kutambulisha bidhaa imeondolewa au bidhaa
imebadilishwa kwa njia yoyote ile, au kama bidhaa ina ushahidi wa unyanyasaji kama vile uharibifu kugongwa au kuchomwa na maji au kemikali.
- Bidhaa hii lazima ikarabatiwe kwa mujibu wa taratibu na ratiba zinazotolewa katika mwongozo wa fundi, na kuhudumiwa au
kurekebishwa kwa kutumia sehemu halisi za Briggs & Stratton. Uharibifu unaosababishwa na ukosefu wa ukarabati au matumizi ya sehemu zisizo halisi haijazingatiwa
katika udhamini huu.
Uchakavu wa Kawaida - Kama mitambo nyingi, bidhaa yako itakuwa na uchakavu hata kama inakarabatiwa kwa sahihi. Udhamini hauzingatii urekebishaji wakati
matumizi ya kawaida yamemaliza maisha ya sehemu ya kifaa au kifaa yenyewe. Vifaa vya ukarabati au uchakavu kama vichujio, mikanda, ubapa wa kukata, na padi za
breki (ila padi za breki ya injini) hazizingatiwi na udhamini kutokana na uchakavu peke yake. Kama sababu ni kutokana na kasoro katika kifaa au operesheni yake ndio
yatazingatiwa.
- Ili bidhaa hii ifanye kazi ipasavyo, inahitaji mafuta safi inayoendanisha na vigezo vilivoelezwa katika Mwongozo wa Fundi.
Uharibifu wa Injini au Vifaa unaosababishwa na mafuta yaliyooza au matumizi ya mafuta ambayo hayajathibitishwa (kama vile mchanganyiko wa ethanoli wa E15 au E85
) hauzingatiwi na udhamini.
Udhamini huu hauzingatii uharibifu kutokana na ajali, unyanyasaji, marekebisho, mabadiliko, huduma mbaya, kugandisha au kuzorota kutokana na
kemikali. Vifaa vya ziada ambavyo havikuwa na bidhaa awali pia vimetengwa. Hakuna udhamini kwa vifaa vinavyotumika kwa nguvu ya msingi badala ya nguvu ya
kutumika au juu ya vifaa vya kutumika kuokoa maisha. Udhamini huu hauzingatii injini au vifaa vilivyotumika, badilishwa muundo, mitumba, au za kujaribia. Udhamini huu
pia unatenga uharibifu kutokana na matendo ya Mungu na matukio mengine ya nguvu isiyozuilika na iliyo zaidi ya mamlaka ya mtengenezaji.
 
Miezi ishirina na nne Miezi kumi na mbili
80011061_SW Rev A

Other manuals for Briggs & Stratton P3000

Questions and Answers:

Question and Answer IconNeed help?

Do you have a question about the Briggs & Stratton P3000 and is the answer not in the manual?

Briggs & Stratton P3000 Specifications

General IconGeneral
Starting Watts3000W
Engine Displacement171cc
Fuel Tank Capacity1.5 gallons
Weight84 lbs
Engine Type4-Stroke OHV
THD<3%
Running Watts2600W
Noise Level58 dB
OutletsOne 12V DC Outlet, One USB Port

Related product manuals