EasyManua.ls Logo

Snapper SPX-100 - Usalama Wa Mwendeshaji

Snapper SPX-100
120 pages
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Loading...
2
HATARI inaashiria hatari ambayo, isipoepukwa,
itasababisha kifo au majeraha mabaya.
ONYO inaashiria hatari ambayo, isipoepukwa,
inaweza kusababisha kifo au majeraha mabaya.
TAHADHARI inaashiria hatari ambayo,
isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au
majeraha mabaya.
NOTICE inaashiria hali ambayo inaweza kusababisha
uharibifu wa bidhaa.
NYO
Ekzosi ya injini kutoka kwenye bidhaa hii ina kemikali
zinazoulikana na Jimbo la California kusababisha
kansa, kasoro za uzazi, au madhara mingine ya
uzalishaji.
ONYO
Vijenzi maalum vya bidhaa hii na vifuasi vyake husika
vina kemikali zinazoulikana na Jimbo la California
kusababisha kansa, kasoro za uzazi, au madhara
mingine ya uzalishaji. Osha mikono baada ya kugusa.
ONYO
Viambatanishi vya betri, vichwa vyake, na vifuasi vyake
husika vina risasi na michanganyiko ya risasi - kemikali
zinazojulikana katika Jimbo la California kusababisha
kansa, kasoro za uzazi, au madhara mingine ya
uzalishaji. Osha mikono baada ya kugusa.
ONYO
Injini inayofanyakazi hutoa moshi wa sumu ya
kaboni monoksidi, usio na harafu, wala rangi.
Kupumua kaboni monoksidi kunaweza kusababisha
kuumwa na kichwa, uchovu, kizunguzungu, kutapika,
kichanganyikiwa, shtuko la moyo, kichefuchefu, kuzirai
au kifo.
Endesha kifaa nje PEKE YAKE.
Zuia gesi za ekzosi zisiingie eneo lililofungwa kupitia
madirisha, milango, sehemu zingine za uingiza hewa,
au mianya mingine.
Usalama wa Mwendeshaji
Maelekezo Muhimu ya Usalama
HIFADHI MAAGIZO HAYA - Mwongozo huu una maagizo
muhimu ambayo yanadaa kufuatwa wakati wa usanidi
wa mwanzo, uendeshaji, na ukarabati wa kifaa. Hifadhi
maelekezo haya ya asili kwa ajili ya kumbukumbu za
baadaye.
Alama za Usalama na Maana yake
Alama hii ya tahadhari ya usalama hutumika kubainisha
maelezo ya usalama kuhusu hatari ambazo zinaweza
kusababisha mtu kujijeruhi mwenyewe. Neno la ishara
(HATARI, ONYO, au TAHADHARI) hutumika pamoja na
alama ya tahadhari ili kueleza uwezekano na uwezo
mkubwa wa kujeruhi. Kwa kuongezea, alama ya hatari
inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
MOTO KUSOGEA
VIPURI
MTETEMO SIMAMISHA
ZENYE ZUMU
MIVUKE
SUKUMA NYUMA MLIPUKO WASHA ZIMA
VAA KITU
MACHONI
ULINZI
HATARI SANA
KEMIKALI
ENEO
CHOKI
ZUIA PUMZI
SOMA
MWONGOZO
MBIO
POLEPOLE
OILI MAFUTA
MAFUTA
ZIMA
KUKATWA KIUNGO
HATARI
ANZA KUENDESHA
HATARI

Related product manuals