EasyManua.ls Logo

Snapper SPX-100 - Page 118

Snapper SPX-100
120 pages
To Next Page IconTo Next Page
To Next Page IconTo Next Page
To Previous Page IconTo Previous Page
To Previous Page IconTo Previous Page
Loading...
18
Sifa
Viwango vya Nguvu
Makadirio ya jumla ya nguvu kwa miundi ya kipekee ya injini za petroli yametambulishwa kwa mujibu wa msimbo wa SAE
(Jamii ya Wahandisi wa Motokaa) J1940 Nguvu ya Injini Ndogo na Utaratibu wa Makadirio ya Msongonyo, na hukadiriwa
kulingana na SAE J1995. Viwango vya msongonyo hupatikana katika 2600 RPM kwa injini ambazo zina “rpm” zilizotajwa
kwenye lebo na 3060 RPM kwa ajili ya ziingine zote; viwango vya nguvu ya farasi hupatikana katika 3600 RPM. Mizingo
ya nguvu ya jumla inaweza kutazamwa katika www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango halisi vya nguvu huchukuliwa
pamoja na ekzosi na kisafisha hewa kilichowekwa ambapo viwango vya jumla vya nguvu hukusanywa bila ya viambatanishi
hivi. Nishati ya jumla iliyopo ya injini itakuwa juu kuliko nguvu halisi ya injini na inaathiriwa na, baadhi ya vitu vingine, hali
za kawaida za mazingira ya uendeshaji na utofauti kutoka injini moja hadi nyingine. Kulingana na mpangilio mpana wa
bidhaa ambapo injini zimepangwa, injini ya petroli huenda isitoe nguvu ya jumla iliyokadiriwa inapotumiwa katika kifaa fulani
cha nguvu. Tofauti hizi ni kutokana na vigezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na, lakini bila ya kikomo, tofauti ya vijenzi vya
injini (kisafisha hewa, ekzosi, kuchaji, kupoza, kabureta, pampu ya mafuta, n.k), vizuizi vya matumizi, hali za kawaida za
mazingira ya uendeshaji, (halijoto, unyevu, mwinuko), na utofauti kutoka injini moja hadi nyingine. Kulingana na vikomo vya
utengenezaji na uwezo, Briggs & Stratton inaweza kubadilisha injini ya nishati ya kiwango cha juu zaidi kwa injini hii.
Viungo na Vifuasi
Onana na muuzaji aliyeidhinishwa.
* Mfumo huu wa uwashaji wa spaki unaambatana na ICES-002 ya Kanada. Upepo wa Kuvimbisha: 10 psi (0,68 kikomo)
Kipengee Briggs & Stratton Briggs & Stratton Briggs & Stratton
Silinda Moja Pacha Pacha
Ukubwa 30.59 cu in. (501 cc) 40.03 cu in. (656 cc) 44.18 cu in. (724 cc)
Mfumo wa
Kielektroniki
Altaneta: 9 amp
Imesawazishwa
Betri: 12V-195 CCA
Altaneta: 9 amp
Imesawazishwa
Betri: 12V-195 CCA
Altaneta: 9 amp
Imesawazishwa
Betri: 12V-230 CCA
Nafasi ya Oili 48 oz (1,4 L) 62 - 64 oz (1,8 - 1,9 L) 62 - 64 oz (1,8 - 1,9 L)
Mwanya wa Plagi ya
Spaki
0.030 in. (0,76 mm) 0.030 in. (0,76 mm) 0.03 in. (0,76 mm)
Msongonyo wa Plagi
ya Spaki
180 in-lbs (20 Nm) 180 in-lbs (20 Nm) 180 in-lbs (20 Nm(
Ukubwa Tangi la
Mafuta
3.5 gal (13,2 L) 3.5 gal (13,2 L) 3.5 gal (13,2 L)
Nafasi ya Koili
inayozunguka ya
Hewa
0.010 - 0.014 in. (0,25 -
0,36 mm)
0.008 - 0.012 in. (0,20 -
0,30 mm)
0.008 - 0.012 in. (0,20 -
0,30 mm)
Uingizaji wa Vali ya
Kuingiza hewa
0.003 - 0.005 in. (0,08 -
0,13 mm)
0.004 - 0.006 in. (0,10 -
0,15 mm)
0.004 - 0.006 in. (0,10 -
0,15 mm)
Uondoaji wa Vali
ya Eneo la Kutolea
moshi
0.005 - 0.007 in. (0,13 -
0,18 mm)
0.004 - 0.006 in. (0,10 -
0,15 mm)
0.004 - 0.006 in. (0,10 -
0,15 mm)

Related product manuals